Jina langu ni Asia, nimeolewa ni na watoto wanne na mume wangu wa ndoa, Jamal,
tulifunga miaka tisa iliyopita, kwa miaka mingi tuliishi kwa upendo na amani ndani ya
nyumba bila kadhia yoyote.
Majirani walivutiwa sana na jinsi ambavyo tulikuwa tukiishi pamoja, nguzo pekee
iliyotuongoza maisha ni uaminifu ndani ya ndoa, hakuna ubishi kwamba uaminifu
ukikosekana kati ya wawili basi mambo huanza kuharibika.
Licha ya mapenzi moto moto niliyokuwa nampa mume wangu na ambayo yeye alikuwa
akinionyesha, bado ndoa yetu kuna kipindi ilipitia kipindi kigumu hadi nikafikiria siku
moja niondoke nirudi kwa wazazi wangu.
Hiyo ilikuwa ni baada ya mimi kujifungua mtoto wetu wa pili, mume wangu ghafla
alibadilika na akaanza kurejea nyumbani akiwa amechelewa sana tofauti na ilivyokuwa
hapo awali.
Kila nilipojaribu kumuuliza alipokuwa hakuwa na majibu yenye kueleweka
zaidi ya kusema yeye ni Baba mwenye nyumba, hivyo sio hekima kumuuliza kila jambo
afanyalo.
Niliamua kumchunguza taratibu kupitia simu yake ya mkononi, nilikuwa nasoma SMS
zake na kuangalia ni kina nani hasa amekuwa akiwasiliana nao mara kwa mara, hadi
mwisho wa siku nilikuja kumpata mwanamke ambaye alikuwa ndiye mchepuko wake
uliyokuwa unamchelewesha nyumbani na kumfanya asinisikilize kabisa kama mkewe.
Bila kupoteza muda niliamua kumpigia simu Dr. Kiwanga kwa namba hii +254
769404965 kumuomba anisaidie kumfunga mume wangu, huyu Dr. Kiwanga ndiye
alinisaidia kumpata huyu mume wangu baada ya kuumizwa na wanaume wengi kwenye
mahusiano ambao walikuwa wananipa ahadi ya kunioa lakini mwisho wa siku
wananichezea na kuniacha.
Dr. Kiwanga ambaye nimekuwa nikimwamini kwa kazi zake, aliniambia ndani ya siku
tatu mambo yatakuwa sawa, nilimshukuru kwa usaidizi wake wa kuamua kuinusuru ndoa
yangu ili isivunjike.
Cha ajabu baada ya siku mbili mume wangu alirejea kazi akiwa na maua aliyoniletea
kama zawadi, nakumbuka aliwahi kufanya hivyo kipindi anataka kunichumbia. Hadi
nilishangaa kwanini ameamua kufanya hivyo, nilimuuliza lengo lake ni lipi hasa?.
Alinijibu kuwa amefanya hivyo ili kuniomba msamaha kwa kuisaliti ndoa yetu hadi
kupata matatizo huko nje, nilimuhoji umepata tatizo gani?. Akiwa analia, aliniambia
alipoenda kwa mchepuko wake alishindwa kabisa kufanya kazi aliyotakiwa kufanya
kama wanaume na haelewi sababu ila akirejea kwangu anajihisi kazi kuimudu.
Hapo nikajua kabisa dawa ya Dr. Kiwanga imefanya kazi vilivyo, basi nilimwambia
nimekusamehe mume wangu ila usirudie tena kwa mwanamke mwingine maana
utahaibika.
Kumbuka Dr. Kiwanaga ni Daktari ambaye amekita mizizi katika eneo nzima la Afrika
Mashariki kwa ueledi wake wa kutibu magonjwa kama vile kifafa, msukumo wa damu na
mengineyo.
Anasuluhisha migogoro ya ndoa, mapenzi na mambo mengine kwa muda wa
siku tatu pekee. Wasiliana naye kwa nambari ya simu +254 769404965
ama barua pepe
kiwangadoctors@gmail.com
pia kwa wavuti www.kiwangadoctors.com kwa usaidizi wowote.