PCK Amkingia Kifua Aliyekuwa Mke wa Manara Rushaynah "Harudi Shinyanga Nimenunua Private Jet"


Mpaka sasa haijajulikana ni Mwanaume Gani hasa amevunja uhusiano wa Manara na Rushaynah. Baada ya wawili hawa kuachana Rushaynah amekuwa akivujisha Voice Note za Manara kwa Mange Kimambi, Manara hajapenda na Ametangaza kwamba Rushaynah akiendelea kumchafua, yeye anaweza akafanya Press, baada ya Hiyo Press Rushaynah anaweza kujiua au Kurudi Shinyanga.

Jana Usiku @official_pck ameipinga kauli ya Manara, kwamba "Rushaynah ataendaje Shinyanga wakati Yeye Ameshanunua ndege?"

Turudi nyuma.
Hivi karibuni kuna Comment ilitembea sana Instagram, Rushaynah ameandika kwamba anahitaji wanaume wa kumhonga/wenye ndege wala sio hawa wanaoweza kumpa Iphone 14 tu.

Kila mtu anafahamu kwamba @official_pck ana Private Jet hivyo huenda hivi sasa akawa anatoka Kimapenzi na Mwanamke huyu, Maana @official_pck hawezi dandia hii Mada bila kuwa na Manufaa nayo. Kama hawa-date, basi PCK yupo kwenye hatua za kumshawishi Rushaynah.

Nawakumbusha tu, PCK ni tajiri kuliko Manara, Jamaa amewahi ku-date na Wema, ana Lamborghini, ana Private Jet hivyo kumpata Rushaynah sio jambo gumu maana Tayari mrembo huyo anatamani kuwa na wanaume wenye Ndege.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad