Web

Producer s2kizzy Afunguka Kuhusu Kudhulumiwa PESA za Tetema na Rayvanny


Mtaarishaji wa Muziki @s2kizzy Amefafanua Juu ya Stori zilizokuwepo kuwa alidhurumiwa Pesa Nyingi na @sallam_sk na Msanii @rayvanny kupitia wimbo wa #MamaTetema Alioufanya Staa kutoka Colombia @maluma na @rayvanny

#S2kizzy Akiwa kwenye Mahojiano na #AyoTv amesema kuwa mpaka sasa pesa yote imeshaingia kwenye akaunti yake na yote yaliyokuwa yakiendelea ni Maelewano mabovu tu.

"Zote zilikuwa Missunderstanding tu pesa yote imeshaingia na zile shusha pandisha za nyimbo kule youtube ilikuwa ni uwekaji sawa wa system tu"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad