Rais Samia Afanya Uteuzi Wa Wakuu Wa Wilaya 37 Wapya, Wengine Awahamisha


Rais Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya Wapya 37, kuwahamisha vituo vya kazi wakuu wa wilaya 48 na wengine 55 kubakia kwenye vituo vyao vya kazi.


Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus, imeeleza kuwa kati ya wakuu wa wilaya hao 140, wanawake ni 40 na wanaume ni 100.


 

 

 

 

 

  

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad