Rayvany Amjibu Producer Shirko "Kwahiyo Ukijenga Nyumba Nzuri Usime"


CEO wa Next Level Music @rayvanny amejibu kauli ya Producer @shirkomedia baada ya kuacha comment kwenye Post ilikuwa inamuonesha Rayvanny akisifia Studio yake

Shirko aliandika "nafikiri ni vizuri kujisia kuwa na Producer Bora na sio Studio"

#CHUI amejibu kauli hii Kwa kuandika............''KILA KITU KINA MUDA WAKE ??? KWA HIO UKIJENGA NYUMBA NZURI USISEME USIFIE MKE ALIE NDANI NO MTU NA NYUMBA NI TOFAUTI PRODUCER NA STUDIO NI TOFAUTI …. Kuna muda utasifia studio lakini kuna muda utasifia producer my brother @shirkomedia

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad