Kuna video clip ya Rushaynah inatembea sana akiwa anaimba singeli ya Mchina Mweusi ~ Nikiachwa kama nimeacha
Rushaynah anajaribu kutuaminisha kwamba hajaathirika na chochote kufuatia kuachwa kwa talaka moja
Ukipita kwenye Account ya Rushaynah utakuta huyu dada amekuwa mchangamfu sana zaidi ya hapo awali, anaonyesha akiwa mwenye furaha mno
Hii furaha anayo ionyesha mimi naamini ni Feki sana, Siku zote ukiona ana furaha sana baada ya uhusiano kuvunjika ujue anajaribu kuudanganya moyo wake wenye maumivu makali