Harmonize Autamani Uraia wa Rwanda, Aomba Apewe Kitambulisho





Staa wa Muziki wa Bongo Fleva @harmonize_tz ambae kwa sasa yupo Nchini Rwanda ameonesha kutamani kupata Uraia wa Nchini Rwanda ikiwa ni siku chache toka aseme kuwa anahitaji kuoa Mwanamke wa Nchini Humo.


Ameandika haya "I need my Rwanda National ID"

#Harmonize ambae kwa sasa yupo Nchini Rwanda kwaajili ya Shughuli zake za kimuziki anaonesha kuna vitu vingi vinamvutia Nchini humo mpaka kutamani kupata Uraia kabisa.
.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad