TFF Imeamua Kuwa Feisal Salum (Fei Toto) Bado ni Mchezaji wa Yanga


Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imeamua kuwa Feisal Salum (Fei Toto) bado ni mchezaji wa Yanga kwa mujibu wa mkataba.

Katika taarifa yake iliyotolewa leo, Januari 7, 2023 na kusainiwa na Cliford Ndimbo, Ofisa Habari na Mawasiliano wa TFF, uamuzi kamili wa pande zote mbili zilizokuwa zinahusika kwenye shauri hilo, utatolewa Jumatatu, Januari 9, 2023.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad