Unaambiwa Rayvanny Alilipa PESA Ndefu Kinyama Kutoka WCB Kuliko Harmonize


Kwa Mujibu wa Boss wa Wasafi Diamond Platnumz Amesema Msanii Rayvanny Ndiye Alielipa Pesa Ndefu Wakati Anatoka Kwenye Lebo Kuliko Hata @harmonize_tz

Diamond Ameongezea Kuwa Tatizo Kubwa ni Kwamba Watu Walikuwa na Mentality ya Kwamba Ukigombana na Diamond Ndio Utatrend Kitu Ambacho Sio Kweli.

Kwa Mtazamo Wangu Mi Nadhani Ni Sawa Tu Kwa Rayvanny Kulipa Pesa Ndefu Maana Si Mnaona Anavyogonga Streams za Kibabe Huko Boomplay. Kwa Kifupi Harmonize Anatrend tu Instagram Lakini Hafikii Levo za Rayvanny Kwa Kuingiza Mkwanja Mrefu Kupitia Digital Platforms.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad