Vita ni kali sana kati ya Diva na Mwijaku, Warushiana Maneno Mabaya


Vita ni kali sana kati ya Diva na Mwijaku.

Mwijaku ndio ameanzisha Vita hii baada ya Kutangaza kwamba Mume wa Diva anaumwa, amekutwa Positive kwenye kale kaugonjwa fulani.

Diva nae akawaka akatangaza kwamba Mwijaku ni mchicha Mwiba, anapumuliwa.

Kiukweli nashauri wawili hawa wapelekwe polisi wakae Lock up hata siku tatu kisha tutaenda kuwatolea dhamana maana wote wamechoka maisha ya Uraiani. Kiufupi Tanzania uhuru umezidi, watu wanatukanana Bila kuogopa chochote.

Ingekuwa Afghanistan hapa Mwijaku na Diva wangepigwa risasi ya kalio.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad