Viwanja vinauzwa BUNJU, MAPINGA, KIGAMBONI NA KIBAMBA DSM




BUNJU
Vipp viwanja vya tsh milion 40, milion 50, million 60  na mil 80
Yaani tsh 40,000 kwa sqm moja.
Umbali kutoka main road ni km 1

MAPINGA
Vipo viwanja vya tsh million 5, million 7, milion 10, million 13, milion 15 na milion 25
Yaan sh 15000 kwa sqm moja.
Umbali kutoka main road ni km 2.

KIGAMBONI
Kipo kiwanja chenye ukubwa wa sqm 1200 kwa Bei ya tsh 25 milion.
Kipo km 2 kutoka Dar zoo

KIBAMBA
Kipo kiwanja chenye ukubwa wa sqm 1400 Bei yake tsh 22 milion.
Kipo umbali wa km 2 kutoka main road.

Piga simu 0758 603077

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad