Waliovujisha Video ya Raisi wa Sudan Kusini Akijikojolea Wakamatwa



Kiongozi wa Muungano wa Waandishi wa Habari (UJOSS), #PatrickOyet, ameripoti Wanahabari 5 kushikiliwa na Idara ya #UsalamaWaTaifa (NSS) kuanzia Januari 3
-
Shirika la Uangalizi wa Waandishi wa Habari (CPJ) limetoa wito wa kuachiliwa kwa Wanahabari hao wanaofanya Kazi na Kituo cha Utangazaji cha Sudan Kusini cha #SSBC, bila masharti

Wanahabari hao wanachunguzwa kwa madai ya kuvujisha Video iliyosambaa Mitandaoni Desemba 2022 ikimuonesha Rais #SalvaKiir akitokwa na haja ndogo hadharani, ingawa SSBC haikuonesha Video hiyo kwenye chaneli zake.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad