Web

Watatu Walioteuliwa Ukuu wa Wilaya Wadaiwa Kukataa Uteuzi



Wanaodaiwa kukataa uteuzi ni Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Japheth Maganga aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa Mkoani #Kagera, Dina Mathamani (Uvinza, #Kigoma) na Rais wa #CWT, Leah Ulaya (Mbogwe, #Geita)

Waliteuliwa wiki iliyopita na Rais Samia Suluhu Hassan lakini wakati wenzao wakiapishwa kwenye maeneo yao Januari 30, 2023 wao wapo Tanga wakiongoza Mkutano wa Viongozi wakuu wa CWT
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad