Whozu Awavua Nguo Frank Knows na Vunja Bei "Walinilazimisha Kufanya Biashara Ambayo Siiwezi"


Mwanamuziki wa Bongo Flava, Whozu ameeleza sababu ya duka lake la nguo kufa miezi michache mbele tangu afungue. Kwenye interview na kipindi cha radio kiitwacho XXL cha #cloudsfm hii leo Jan 18 , Whozu amedai hakufungua duka kwa mapenzi yake maana si biashara anayo imudu kuifanya, kilicho tokea ni kuwa kaka zake, yani Fred Vunjabei na Frank Knows walimlazimisha kumfungulia duka ili naye afuate nyao zao za ufanya biashara wa Nguo.


Whozu amedai kwakuwa si biashara aliyokuwa akiiweza, ikamfia na hajawahi tamani kabisa kufanya tena biashara hiyo. Whozu alikuwa kwenye kipindi hicho akitambulisha wimbo wake mpya unaoitwa VAVAYO aliomshirikisha #marioo na tayari upo kwenye digital platforms zote.


Whozu Awavua Nguo Frank Knows na Vunja Bei "Walinilazimisha Kufanya Biashara Ambayo Siiwezi"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad