Yanga Imeingia Mkataba na Kampuni ya vifaa vya umeme ya Haier Kuwa Mdhamini Mkuu


Club ya Yanga SC imeingia
mkataba na kampuni ya vifaa vya umeme ya Haier kuwa Mdhamini Mkuu wa Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika 2023.

Mkataba huo utaipa Yanga Tsh Bilioni 1.5 na Haier watakaa katika jezi za Yanga kifuani badala ya SportPesa.

Yanga wamelazimika kumuondoa SportPesa kwa sababu Shirikisho la Soka Afrika CAF haliruhusu timu kuwa na Mdhamini ambaye ni Mshindani wa Mdhamini wa Mashindano ya CAF (1xbet).
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad