Ally Kamwe, Afisa Habari Yanga Afunguka Sakala la Morrison Kutokwenda Tunisia


“Bernard Morrison amepata shida ya ‘groin’ kwa mujibu wa vipimo alivyofanyiwa, atakuwa nje ya uwanja kwa muda miezi miwili. Kwa hiyo hayupo kwenye safari ya Tunisia.”

“Atafanyiwa matibabu hapahapa Tanzania kwa muda wote atakaokuwa nje ya uwanja, kwa kuwa daktari alishauri Mshery afanyiwe upasuaji ndio maana amejumuishwa kwenye safari ya Tunisia kwa sababu atafanyiwa upasuaji akiwa huko.”

- Ally Kamwe, Afisa Habari Yanga.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad