Amuua Dada wa Kazi na Kumchoma KISU Mama Yake, Naye Auawa na Wananchi

Amuua Dada wa Kazi na Kumchoma KISU Mama Yake, Naye Auawa na Wananchi


Watu wawili wameuawa huku mmoja akijeruhiwa kwa kuchomwa na kisu maeneo ya Magomeni Kagera, Mtaa wa Ludewa


Inadaiwa kijana Erick aliyekuwa akiishi nyumbani kwa mzazi wake amemuua dada wa kazi (Anna) baada kukataliwa kimapenzi n baada ya mauaji Erick akautupa mwili chooni; muda mfupi baadaye akamchoma kisu tumboni mama yake mzazi ambaye alihoji alipo dada wa kazi baada ya kukuta damu zimetapakaa kila sehemu


Kelele za mama mtu kuchomwa kisu ziliwashtua majirani ambao walifika eneo la tukio na kuanza kumshambulia mtuhumiwa hadi kusababisha kifo chake

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad