Aslay "Amber Lulu Tulia Umlee Mama yako"



Una rafiki ambae anaweza kukwambia ukweli licha yakujua unaweza kukukwaza?, kama unae mtunze sana

Wakati mengi yakiendelea kwenye mitandao ya kijamii juu ya @iamamberlulu

Star wa muziki @iamamberlulu ameshare ushauri ambao amepewa kupitia dm yake na msanii mwenzake @aslayisihaka

Mpe S/O zake rafiki yako ambae mara zote amekuwa haogopi kukwambia ukweli

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad