Breaking: Rais Dr. Hussein Mwinyi, Amemteua Charles Hilary Kuwa Msemaji Mkuu wa Serikali Zanzibar


Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi, amemteua Ndg. Charles Martin Hilary kuwa Msemaji Mkuu wa Serikali Zanzibar. Uteuzi huo umeanza leo Februari 06, 2023.

Kabla ya uteuzi huo, Charles Hilary alikuwa ni Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad