Bwana Samatta Moto...Atupia Genk ikishinda 3

 


Nahodha wa Tanzania, Mbwana Samatta juzi Februari alifanikiwa kuifungia timu yake ya KRC Genk bao kwenye mchezo wa ligi dhidi ya KV Oostende ambao ulimalizika kwa ushindi wa mabao 3-0.


Mabao mengine katika mchezo huo yalifungwa na D. Munoz 9', M. Samatta 41' na J. Paintsil kipindi cha pili.


Genk wanakamata nafasi ya kwanza katika msimamo wa Ligi Kuu ya Ubelgiji wakiwa na alama 66 baada ya michezo 27.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad