Cristiano Ronaldo Amefunga Magoli Manne Ligi Kuu Saudi Arabia..Aipeleka Kileleni


Cristiano Ronaldo amefunga magoli manne na kuisaidia klabu yake ya Al Nassr FC kuibuka na ushindi wa 4-0 dhidi ya Al Wehda FC katika mchezo wa Ligi kuu Saudi Arabia.

FT:Al Wehda FC 0-4 Al Nassr
⚽⚽⚽⚽C.Ronaldo

Al Nassr FC imerejea kileleni mwa msimamo wa Ligi kuu Saudi Arabia
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad