Diva Amlipia Mwijaku "Gari Wamenunua Silent Ocean Asitudanganye ni Mkewe Kamnunulia"


Ni maneno ya Mtangazaji wa Wasafi FM, @Divatheebawse Kuhusu @Mwijaku kununuliwa gari na Mke wake, Kwa Herufi kubwa Diva ameweka Post yenye maneno, 'GARI IMENUNULIWA NA SILENT OCEAN SABABU YA UBALOZI HAKUNA SAPLAIZ YA MKE WALA NN.. ASANTE'.

DIVA hakuishia hapo, kwenye caption ya Post hio ambayo alifunga Comment, Diva ameandika, "Asanteni Sana, Ni sawa na kupewa gari ila una makato yako ingawa Jina lako sababu ni kama umechukua mkopo .. unakatwa based on kazi yako unayofanya ...
Waliosoma CUBA mmenielewa ... ila wapenda content mmepata slope!. nimewarahisishia ... Hii Ni habari tu kama habari zingine sihitaj comment jaman shukran sana Mwanawane"
BEEF LINAENDELEA.....

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad