Fezza Kessy "Heshima Yangu Kwa Harmonize ni Kubwa Sana"


Msanii na muigizaji #fezakessy ambaye ameonekana kwenye video ya #wote ya kwake @harmonize_tz kama video vixen amedai heshima yake kwa Harmonize ni kubwa sana na haijawahi tokea.


Akiwa kwenye XXL ya Clouds Fm hii leo Feb 8, Feza amedai namna alivyo kuwa approached na Harmonize kufanya kazi, alipewa heshima zote na anakuwa staa pekee Tanzania kuwahi kumshawishi kufanya naye kazi tena nje na muzi, yani Acting.


Mbali na hilo Feza ameda ukiachana na video ya wote, wawili hao wanaproject nyingine pamoja.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad