Harmoize: Msikilize sana mzazi hataka kama sio wako, ilibaki kidogo nioe


Harmonize amesimulia namna ilivyobaki kidogo sana kumuoa mwanamke ambaye hakumtaja jina lake.

Harmonize ameendelea kwa kusema kuwa chochote atakachosema mzazi (Mama au Baba) wasikilize sana hata kama sio wazazi wako.


Ameendelea kuwa Wazazi wanaona mbali sana hasa kama kuna kitu unafanya.


Mzazi anaona kabisa hapa unaenda kufanikiwa au huwezi kufanikiwa.


Na ukiona mzazi amekukataza kufanya kitu fulani usifanye kwa sababu ameona mbeleni kukoje.


(Swipe) kuusoma ujumbe wa @harmonize_tz ambao ameupost kupitia Insta Story yake.


Unahisi ni mwanamke yupi ambaye @harmonize_tz amemzungumzia na kusema ilibaki kidogo amuoe??



Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad