Harmonize Azima Tetesi za Kuwa Kwenye Penzi Jipya


Harmonize azima tetesi za kuwa kwenye penzi jipya kwa sasa.

Harmonize amefunguka kupitia Instastory yake kuwa kwa sasa yupo Single na wasichana mnaowaona wako nao karibu hakuna hata mmoja aliouteka moyo wake

Harmonize amefungu hayo ikiwa ni siku moja toka video kusambaa mitandaoni ikimuonesha akiwa na mrimbwende wakishuka kwenye gari.





Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad