Hassan Abbasi Ahamishiwa Wizara ya Maliasili na Utalii


Rais Samia Suluhu Hassan amemhamisha Dkt. Hassan Abbasi, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, kwenda kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii.

Dkt. Hassan anachukua nafasi ya Prof. Eliamani Sedoyeka.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad