Haya ni Mambo 10 Aliyoongea Rushaynah na Waandishi Leo


Mambo 10 alioongea na waandishi muda huu. Bibie @rushaynah_ ambae ana wowowo na kasura kazuri.

1. Sifikirii Kuolewa kwa sasa.
2. Sina Mahusiano na Harmonize Ni Rafiki Yangu, walitunga
Story za Dubai zote uongo na hio sijatulia inatokana na Jinsi mtu anavyonichukulia sijali sijihangaishi na maneno Ya Mtandao.
3. Manara ana hela Ya Kawaida Sana, ndoa yetu kuvunjika haijafata taratibu za kidini wala kisheria na talaka ni moja.
4. Sina Ukaribu Na Naseeb na wala siendi Mbezi kwake
5. Sijamnyima Pafyum
6. Sikuwa na Amani katika ndoa nikaona niondoke
7. Kuhusu Vipigo kawaida tu
8. Mahusiano kama ninayo kwa sasa Mengine 50/50
9. Nikiamua Jambo Langu hakuna wa kunishauri sitarudi tena kwa Manara Niliamua.
10. Ubalozi wangu wa Miez 3 wa nywele na emish nina trend ndio Mana nimepewa ubalozi ubalozi Biashara Yake inahitaji mtu anae trend.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad