Web

Kitwanga Atoa ya Moyoni "Inanichekesha Kivuko CHETU Kupelekwa Kenya Kutengenezwa"

 


Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga amehoji “Sijali kama kivuko chetu (MV Magogoni) kilinunuliwa kwa Tsh. Bilioni 8 na kinaenda kutengenezwa kwa Tsh. Bilioni 7.5 lakini tunashindwaje kukitengeneza sisi Watanzania hadi kupeleka #Kenya?”

Ameongeza “Tuangalie nani yupo nyuma ya huo mpango, inanipa usumbufu wa mawazo. Sikubaliani na uamuzi walioufanya, niwaambieni hata mkitaka kuiba ibeni kisha muwekeze #Tanzania ili Wazawa wapate kazi na siyo kuiba kisha mnapeleka fedha nje ya Nchi.”

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad