Ligi Kuu Tanzania Bara ya Tano Kwa Ubora Afrika


Ligi Kuu Tanzania Bara imetajwa kuwa ya tano (5) kwa Ubora Barani Afrika na ya 39 Duniani, hii ni kwa mujibu wa Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS) kwa mwaka 2022.

1). Misri

2). Algeria

3). Morocco

4). Sudan

5). Tanzania

Ligi hiyo imepanda kutoka nafasi 10 Afrika na ya 62 duniani kwa mwaka 2021.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad