Madaktari wa Yanga Wamponza Meneja






Unaikumbuka ile stori ya jinsi madaktari wa timu ya Yanga walivyomsaidia moja ya abiria aliyepata tatizo la kifaya kwennye ndege wakienda Tunisia?

Sasa bwana Meneja wa Digitali wa Yanga aitwaye Privaldinho akalikumbushia na lushusha tena kwa hali iliyoonekana ya kulaumu kuwa wapinzani wao jambo hilo jema hawaliongelei tena bali wamekalia kuongea vitu visivyo na tija.



Baada ya malamiko hayo ambayo yanaonekana yaliekezwa kwa baadhi ya wachambuzi wa soka nchini, wananchi kama wananchi bwana! Mapozu yakaanza kuwatoka chaaap! Wengi wakiwa wanamlalamikia kuwa kwa kuliongelea jambo hilo ni kama haitendei haki kazi yake aliyoajirwa nayo.



Basi bana lakini si spana zinataosha? Oooh! Hazitoshi bwana ziliendelea kinamna hii;




Hebu we nambie kwa comment hizi unahisi ni za mashabiki kutoka timu gani hapa Bongo?




Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad