Manara Achafukwa Baada ya Rushyna Kusema Hana Hela "Rushyna Nilimkuta Anaishi Banda la Uwani"


Kwanza Kabisa Wale Mnaofahamu Maisha ya Rushyna Kabla Hajaolewa na Manara Embu Tuambieni Hilo Banda la Uwani Alilokuwa Anaishi Rushyna Ni la Mabati au la Mbao?

Ukimsikiliza Rushyna Vizuri Utagundua Kuwa Lengo Lake Kuu Ni Kumuumiza na Kumkera Manara Kisaikolojia ili Ajibiwe Apate Trending.

Na Kwenye Hilo Amewini, ndio maana Kila Akiongea Kitu Negative Kumuhusu Manara, inakuwa Ngumu Sana Kwa Haji Kuweza Kuvumilia na Mwisho wa Siku Anajikuta Nayeye Akijibu.

Sasa Kujibizana na Mwanamke Eti Kisa Tu Amesema Huna Hela Huko Nikukosa Ukomavu. Hela Haitaki Matangazo Kama ipo ipo tu itajitangaza Yenyewe na Kama Haipo haipo tu Hata Ufanyeje.
.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad