Maskini Mke wa Dr. Mwaka Apiga Magoti na Kusema "Nipo tayari kumpa kila kitu Dr Mwaka Lakini Nibaki na Amani Yangu"


QUEEN mke wa Dr Mwaka Amepiga magoti na kulia kwa uchungu wakati akihojiwa na kituo cha radio Clouds FM kipicha cha Jahazi na Kusema haya :

"Nipo tayari kumpa kila kitu Dr Mwaka lakini nibaki na amani yangu, nilee watoto wangu, mimi na yeye tumefika mwisho na sio ugomvi, natamani uwe mwisho wenye amani, isifike mahali ananidhalilisha kwenye mitandao, kutengenezeana kesi za polisi na kutishana maisha"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad