Mavocali Msanii Mpya WCB?


Baada ya tetesi kuwa msanii aliyesainishwa leo Februari 2, 2023 na lebo ya WCB ni mwimbaji nyota wa kizazi kipya @mavokali_ kuna hili la kufahamu.

Mavokali muda mfupi uliopita kupitia insta story yake ameandika "02/02/2023 Deal Done" akiwa na maana leo tarehe 2 mwezi wa pili kuna dili amelikamilisha.

Kufuatia caption hiyo anazidi kuhusishwa kuwa ndiye msanii mpya wa lebo ya WCB anayesubiri kutambulishwa rasmi. Pia kwenye ukurasa wake wa Instagram ameondoa picha zote sehemu ya feed.

Hata hivyo, sio Diamond wala uongozi wa lebo ya WCB uliothibitisha hili. Tuendelee kusubiri taarifa rasmi itakayotolewa na uongozi wa lebo.

Kama ni kweli 🤔.. Hitmaker huyo wa #Commando @mavokali_ kutua WCB, unauonaje usajili huo mpya

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad