Mgahawa Aliopigwa AKA Risasi Wafungwa Kwa Muda


Uongozi wa Mgahawa wa @wishonflorida ambapo Rapa #AKA aliuwawa nje ya Mgahawa huo kwa kupigwa Risasi 5 umetangaza kuufunga mgahawa huo kwa muda usiojulikana

Kupitia ukurasa wao wa Instagram #WishOnFlorida wametoa pole kwa familia ya #AKA na rafiki yake #Tebello na kuahidi kutoa ushirikiano wa kutosha kwa Jeshi la Polisi nchini Afrika Kusini ili kubaini walitekeleza tukio hilo la kikatili

AKA na #Tebello wameuwawa kwa Risasi usiku wa February 10,2023 wakiwa wanatoka kupata chakula kwenye Mgahawa wa @wishonflorida Afrika Kusi

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad