Msechu Adai upungua Kilo 7 Siku 7 Baada ya Kuwekewa Puto Tumboni



Amewekewa Puto la kupunguza nafasi ya Tumbo la Chakula Januari 25, 2023 akiwa Kilo 143.4 na ameonesha kupungua hadi kufikia Kilo 136.5 (sawa na kupungua uzito wa Kilo 1 kila siku)


Kupitia Instagram Msechu amesema, "Eeeh Mwenyezi Mungu sijui nikushukuru vipi, niliwekewa Puto 25/01/2023, leo ni siku ya 7 nimepiga picha hiyo mida ile ile ya asubuhi kama wakati naenda hospitali nimepunguza Kilo 7"


Huduma ya kupunguza uzito imeanza kutolewa Nchini baada ya kuwepo kwa ongezeko kubwa la watu wenye Uzito uliopitiliza ambapo hadi kufikia Januari 25, 2023 watu 27 walikuwa wameipata

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad