MCHAMBUZI na muasisi wa zandani kutoka @wasafifm @ricardomomo amewaka wazi kuhusu kuachana na aliyekuwa mke wake @malaikacute55
Mzee wa Kudere ameyasema hayo ijumaa ya leo katika kipindi cha Mashamsham na kuongeza kuwa wamefikia hatua hiyo na @malaikacute55 na tayari amempa talaka (ingawa hajaweka wazi ni talaka ngapi).