Mtangazaji wa EFM Radio B-Dozen Arudi Clouds Baada ya Miaka Mitatu

 


Baada ya miaka 3, Mtangazaji B-DOZEN amerejea tena Clouds FM kwenye kipindi cha XXL baada ya kutangaza kuondoka June 3, 2020 na kutimkia E-FM.


Kurudi kwake safari hii imekua tofauti amefika kwenye studio hizo kama balozi wa (Guiness Smooth) na alikwenda kwaajili ya kupromote tukio ambalo litafanyika Tarehe 18 kitambaa cheupe linalohusu Guiness Smooth.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad