Mungozaji na Mwandishi wa Tamthilia ya Jua Kali Lamata Leah Amkataa Kajala Masaja Live "Hafiti"

 


Mungozaji na Mwandishi wa Tamthilia ya Jua Kali Lamata Leah amefunguka kuwa katika Tamthilia ya Jua Kali huwa anaheshimu sana muongozo na huwa wanakaa na Timu kuangalia ni Muigizaji gani anafiti sehemu fulani hivyo, Muigizaji Kajala hawajaona sehemu yoyote ambayo anafiti ndio maana hayupo.


Mbali na hivyo yeye huwa haangalii urafiki kwenye kazi yake na hata Kajala analifahamu hilo na hajawahi kujiskia vibaya na anamsapoti sana kwenye kazi zake

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad