Hersi - "Mwenyezi Mungu ametuhusia kuishi kama ndege , unaamka asubuhi unaenda kutafuta ridhiki unarudi ukiwa na ridhki , Mwijaku ni mtafuta ridhiki
Mwijaku - "Mimi ni Mwananchi ,ukizaliwa tu ndani ya Nchi hii wewe ni Yanga, Ghalib (GSM ) aliniambia ni njaa inanisumbua"
Da Huu - Kwa hiyo wewe ni Yanga ?
Mwijaku - "Eenh kwani hujamsikia @alikamwe ? Ukizaliwa Tanzania tu wewe ni Yanga"
Namna mjadala ulivyokuwa kwenye LeoTena Mwijaku akiikana hadharani Simba na kusema yeye ni Mwananchi 😁