Mwijaku Aikana Hadharani SIMBA "Mimi mi Yanga Damu ni Njaa tu Inanisumbua"

 


Hersi -
"Mwenyezi Mungu ametuhusia kuishi kama ndege , unaamka asubuhi unaenda kutafuta ridhiki unarudi ukiwa na ridhki , Mwijaku ni mtafuta ridhiki

Mwijaku - "Mimi ni Mwananchi ,ukizaliwa tu ndani ya Nchi hii wewe ni Yanga, Ghalib (GSM ) aliniambia ni njaa inanisumbua"

Da Huu - Kwa hiyo wewe ni Yanga ?

Mwijaku - "Eenh kwani hujamsikia @alikamwe ? Ukizaliwa Tanzania tu wewe ni Yanga"

Namna mjadala ulivyokuwa kwenye LeoTena Mwijaku akiikana hadharani Simba na kusema yeye ni Mwananchi 😁

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad