Mwijaku Amjia Juu Diamond Platnum Baada ya Kutangaza Kutoa Nyimbo Mpya


Baada ya msanii @diamondplatnumz kutangaza kuwa ataachia wimbo mpya #Zuwena hapo kesho watu wengi wamekuwa wakisubiri kwa hamu , sasa taarifa imepokelewa tofauti na mtangazaji na chawa @mwijaku huku akihoji kwanini autoe wimbo huo kesho siku ya ibada.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter mwijaku amepost picha aliyoipost @diamondplatnumz na kuandika ' Kesho Ni Siku Ya Ibada Ijumaa,Na Wewe Ni Muislam Unaachiaje Nyimbo? Tukutane Msikitini Mwambino'. Huku akiichukua post hiyo na kuiweka kwenye Instastory yake.

.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad