Paula Masanja Afunguka "Anataka Kunioa Kuniharibia Maisha"

 


Katika chapisho lake la hivi punde kwenye mtandao wa TikTok, Paula aliiga sauti ya mwanamke akiweka wazi kuwa hayuko tayari kuolewa.


“Mwanaume akisema anataka kukuoa sasa hivi utamchukulia aje?” sauti ya mwanaume iliuliza kwenye video.


Sauti ya mwanamke ilijibu kwamba mtu ambaye ana nia ya kumuoa sasa anataka tu kumharibia maisha yake.


“Sitamchukulia vibaya, si namkatalia tu. Anayetaka kunioa, anataka kuniharibia maisha,” alisema.


Ujumbe huo unakuja siku mbili baada ya Rayvanny kuchapisha picha ya Paula kwenye ukurasa wake wa Instagram na kuweka emoj za upendo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad