Petitman Afunguka Tena "Sijakurupuka Kusema Niliyosema Kuhusu Esma"


Petitman Wakuache Ameamua Uvivu Baadhi Ya Wadau Mitandaoni Ambao Wameonekana Kama Hawajaafiki Mambo Hayo Kuletwa Kwenye Mitandao Ya Kijamiii Na Badala Yake Yapelekwe Kwenye Vyombo Husika.

PETIT Kupitia Insta Story Yake Ameweka Wazi Kuwa Hajakurupuka Kuhusu Uamuzi Huo Kwasababu Hayo Wanayosema Wadao Tayari Ameshayafanyia Kazi Tangia Mwaka 2019.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad