Polisi Afrika KUSINI Wafunguka Kwa Uchache Kuhusu KIFO cha Mwanamuziki AKA


Polisi nchini Afrika Kusini wamesema ushahidi uliokusanywa hadi sasa unawaongoza kuamini kuwa kifo cha rapa maarufu AKA ni cha mauaji yaliyokusudiwa.

Mkuu wa Polisi wa KwaZulu Natal Nhlanhla Mkhwanazi amesema “mtu mwenye silaha alimsogelea AKA akitokea nyuma na kumpiga risasi”

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad