Post ya mwisho ya AKA ilionesha Location Alipokuwa Kabla ya Kupigwa Risasi


Post ya mwisho ya AKA ilionesha location alipokuwa (kwenye mgahawa wa Wish uliopo barabara ya Florida, Durban.

Amepigwa risasi dakika chache tu akiwa nje ya Wish baada ya kula chakula na marafiki zake hapo na pia baada ya kuweka post hiyo.

Nadhani alikuwa anabadilisha kiwanja kuelekea klabu inaitwa Yugo kwenye sherehe ya birthday yake.

Hivyo, waliompiga risasi walijua exactly mahala alipo.

Swali ni, walijuaje kuwa amemaliza kula na yupo nje anataka kuondoka?

Je! Kuna mtu ndani ya huo mgahawa aliwatonya wauaji, ndio maana wamefanikiwa kufanya drive by shooting ambayo inahitaji timing! Shoot and drive!

Je! Kuna snitch miongoni kwa hawa marafiki zake?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad