Puto Angani Laichanganya Marekani..Wahisi ni la Kipelelezi


Kumekuwepo na sintofahamu juu ya puto linaloendelea kuonekana kwenye Anga la Amerika ya Kaskazini. Baadhi ya maeneo ambapo puto hilo limeonekana kwa macho ni pamoja na majimbo ya North na South Carolina.

Puto hilo linasadikiwa kuwa la kipelelezi linalokusanya taarifa.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad