Rihanna Alikodi Nyumba ya Bilioni 1 Kujiandaa na Onyesho la Super Bowl


Unaambiwa #RIHANNA Alikodi nyumba huko Arizona kwa ajili ya maandalizi ya Show yake ya #SuperBowlHalftime2023 ambapo ni umbali wa Maili 30 kutoka katika Uwanja wa uliochezewa Mashindano hayo.

Kwa mujibu wa watu wa karibu na Staa huyo wameweka wazi kuwa Nyumba hiyo kwa Usiku mmoja gharama zake ni $85,000 zaidi ya Tsh.Milioni 198.8 na walikaa kwa Siku 6 hivyo kufika Takribani $510K zaidi ya Tsh.Bilioni 1.1.
.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad