Rushaynah Atua Aitisha Mkutano wa Waandishi wa Habari, Awasili na Ulinzi Mkali


Aliyekuwa mke wa @hajismanara , @rushaynah_ ametua katika hotel ya Double View Sinza Dar Es Salaam kwaajili ya kuongea na waanishi wa habari.

Mrembo huyo amefika katika eneo hilo akiwa na walinzi.

Rushayna hajaonekana hadharani kwa muda mrefu toka sakata la kuachana na aliyekuwa mume wake Manara.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad