Rushaynah "Tusing'ang'anie Sehemu Ambayo Hatupati Furaha, Haji Manara Hana Hela"


Mwanadada #Rushaynah ambae alikuwa mke wa #HajiManara amefunguka kutotaka kuingia tena kwenye ndoa kwa sasa huku akitoa ushauri kwa wanawake wasing’ang’anie sehemu ambayo hawapati furaha.

Pia Rushaynah amewajibu wale waliokuwa wakidhani aliolewa na #Haji kwasababu ya pesa na kusema kuwa #Haji hana pesa hivyo hakufata pesa,huku akikazia kuwa hana mahusiano na #Harmonize kama watu walivyokuwa wakidhani

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad