Sakata la Ukarabati wa Kivuko Gerson Msigwa Afunguka "MV Magogoni Ingejengwa LEO Ingegharimu Bilioni 25"

 


Kuhusu ufafanuzi wa gharama za ukarabati wa kivuko cha MV Magogoni ambazo zilizua gumzo siku chache zilizopita baada ya kuelezwa ni Tsh Billion 7 ikiwa ki uko hicho kilinunuliwa kwa Tsh Billion 8.5, @gersonmsigwa anaeleza gharama zimekuwa kubwa kiasi hicho kutokana na mabadiliko ya bei za Vifaa kwa sasa kulinganisha na wakati kivuko hicho kinanunuliwa.

Gerson Msigwa anaeleza endapo kivuko hicho kingenunuliwa leo hii, kingegharibu takriban Tsh Billion 25 na sio Billion 8.5 jama ilivyokuwa hapo awali. 🤔 • #PowerBreakfast

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad